Psalms 78:47-48


47 aAliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe
na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji.

48 bAliwaachia mifugo yao mvua ya mawe,
akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.
Copyright information for SwhKC